27. Sep '20, 01:07
Ad ID: 2156514
TSh 410,000

Infinix Note 7

Ilala, Kariakoo Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Free delivery only within Dar Es Salaam city centre and Regions.

Details
Price negotiable
No
Condition
New
Brand
Infinix
Screen Size
6.9 Inches
RAM
4 GB
Storage Capacity
64 GB
Description

infinix NOTE 7 ni simu yenye sifa lukuki zenye kuvutia kuanzia umbo lake kubwa lenye upana wa kioo cha nchi 6.9 na megapixel 48 kamera pamoja na kasi ya processor aina ya MediaTek Helio G70Processor ya G70 inakasi kubwa yenye kuwezesha matumizi mbalimbali ya kiofisi na yasiyo yaki ofisi kama vile games zinazohitaji speed kubwa bila kuchoka na miongoni mwa sifa nyengine za Infinix NOTE 7 ni uwezo wa kukaa na chaji kwa muda mrefu pasipo uhitaji wa kuichaji kwa muda mwingi kutokana na uwezo mkubwa wa battery yenye mAh 5000 na teknolojia ya fast chargeSifa yingine zenye kuifanya Infinix NOTE 7 kuwa simu yako bora kwa mwaka huu wa 2020 ni ukubwa wa memory ya GB 64 ROM + 4GB RAM
Tunakupatia Warranty ya Miezi 12
Pia Mikoani tunasafirisha

Pport Phone Store
Pport Phone Store
Member Since 29. Nov '19
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.