Kiwanja kinauzwa nyamhongolo industrial area, kimepimwa na kina hati safi. Kipo katikati ya eneo la viwanda la nyamhongolo karibu na maonyeshi nanenane, kiwanda cha maji cha Mwanza na sheli ya Lake oil along Mwanza Musoma Road.
Kiwanja kina hati safi, karibuni sana
Learn about new items, custom picked just for you.