Mikoani tunatuma na zinafika salama kabisa. Au unaweza kumtuma mtu wako ofisini kwetu akalipia na kisha kukutumia ulipo
Mashine mpya za kisasa za teknolojia ya hali ya juu.
Trei za droo ambazo ni rahisi kuweka na kutoa mayai/vifaranga.
Inatumia sola, umeme, au betri ya 12V
Inatumia umeme 80watts
Incubator ya mayai 64.
Totolesha mayai ya kuku, bata, bata mzinga, njiwa, kware, kanga, nk
Ina ufanisi wa zaidi ya 98%
Inafaaa sana kwa sehemu ambazo bado hazijafikiwa na umeme wa tanesco.
Inageuza Mayai yenyewe kila baada ya dkk 120
Pia utapata ofa kifaa maalum cha kuongeza unyevu(Ultrasonic Humidifier).
Warranty ni miezi sita.
Tupo mkabala na shule ya msingi Makuburi Jeshini barabara ya kwenda Tabata kimanga ukitokea Ubungo External karibu na Corner Lounge baa
Learn about new items, custom picked just for you.