Nyumba zipo mbili kwenye fensi moja nyumba kubwa inavyumba vi3 kimoja self sebule dina jiko stoo pia nyumba ndogo inavyumba vi2 kimoja self ina seeting room dinning room, nyumba huduma zote za kijamii zipo, umbali kutoka Morogoro road ni Kilometer 2 njoo ukague tufanye biashara nyumba imeshapimwa tayari mawe yashawekwa bado Hati miliki tu garama kupelekwa saiti kuona ni elfu 20
Learn about new items, custom picked just for you.