Nyumba inavyumba vi3 vya kulala kimoja master bedroom Ina setting room dining room kitchen store public toilet, eneo lake ni sqm 1200 nyumba ipo jirani na stendi mpya ya mabasi ya mkoa, umbali kutoka morogoro road ni mita 700 njoo ukague garama za kupelekwa site ni za mteja mwenyewe
Learn about new items, custom picked just for you.