nyumba inavyumba vi3 kimoja master bedroom ina seeting room dinning room kitchen store public toilet umeme upo maji yapo ukubwa wa eneo lake ni Sqm 400 documents Hati ya serikali za mitaa bei millioni 60 njoo ukague garama kupelekwa saiti kuona ni elfu 20
Learn about new items, custom picked just for you.