Nyumba inavyumba vi3 kimoja master bedroom ina sebule dina jiko stoo choo cha ndani public, maji yapo umeme upo, eneo lake ni Sqm 400 documents Hati ya serikali za mitaa, nyumba ipo Kilometer 1 kutoka barabara kubwa ya lami, njoo ukague tufanye biashara garama kupelekwa saiti kuona ni elfu 20
Learn about new items, custom picked just for you.