Nyumba inavyumba vi4 vya kulala kimoja master bedroom ina seeting room dinning room kitchen store public toilet umeme upo maji yapo ukubwa wa eneo lake ni Sqm elfu 1500 documents Lesen ya makazi bei millioni 90 maogezi kidogo yapo garama za kwenda saiti kuona ni elfu 15
Learn about new items, custom picked just for you.