Nyumba inavyumba vi3 kimoja master bedroom ina seeting room dinning room kitchen store public toilet umeme upo maji yapo ukubwa wa eneo lake ni Sqm elfu 800 documents Hati ya mauziano serikali za mitaa lakini upimaji shirikishi umeshafanyika tayari mawe yashawekwa bei mil 57 maogezi yapo
Learn about new items, custom picked just for you.