Nyumba inavyumba vi3 kimoja master bedroom ina seeting room dinning room kitchen store public toilet umeme upo naina kisima cha maji ukubwa wa eneo lake ni mita 25 kwa 30 documents hati ya serikali za mitaa bei millioni 75 maogezi yapo njoo ukague garama kupelekwa saiti kuona ni elfu 20
Learn about new items, custom picked just for you.