Nyumba inavyumba vi4 vi3 master bedroom ina seeting room dinning room kitchen store public toilet umeme upo maji yapo ukubwa wa eneo lake ni mita 30 kwa 30 documents hati ya serikali za mitaa njoo ukague tufanye biashara garama kupelekwa saiti kuona ni elfu 20 nyumba haipo mbali sana kutoka barabara kubwa ni dakika 2 kwa miguu unafika kwenye nyumba
Learn about new items, custom picked just for you.