Nyumba inavyumba vi3 kimoja master bedroom ina seeting room dinning room kitchen store public toilet, huduma zote za kijamii zipo nyumba ipo vizuri eneo lake ni Sqm 600 mtaa umechangamka ipo kibaha mwenda pole Kilometer 1 kutoka Morogoro road njoo ukague garama kupelekwa saiti kuona ni elfu 20
Learn about new items, custom picked just for you.