Tunafanya delivery Popote Tanzania na Nje ya Tanzania kwa Gharama nafuu kabisa.
Dar - Gharama ni 5,000 (popote tunakuletea)
Mkoani - Gharama itategemea na sehemu ulipo, lakini haizidi 10,000
Mafuta namba moja kwa ajili ya kukuza na kuzipa afya NDEVU. Husaidia kwa wenye ndevu na wenye dalili za ndevu. Yanatumika kama mafuta mengine ya kupaka (asubuhi na jioni) baada ya kunawa/kuoga.
Yametengenezwa kwa vitu asilia, hakuna chemicals. Yanafaa kwa watu wote. Matokeo ni ndani ya mwezi mmoja. Karibuni sana.
Size na bei zetu ni kama ifuatavyo:
50ml = 50,000/-
30ml = 40,000
Learn about new items, custom picked just for you.