10. Oct '21, 19:03
Ad ID 3495285
TSh 540,000

IFAHAMU TEZI DUME DALILI NA TIBA BILA UPASUAJI

Arusha Mjini Arusha
Seller offers delivery

Uwe ndani ya Arusha Mjini tu .Tofauti na apo utachangia gharama zitakazo husika

Details
Price negotiable
No
Description

TEZI DUME NI NINI?.

Tezi dume hii kitaalamu hufahamika kama (PROSTATE GLAND)

  • Hii ni tezi inayopatikana katika mfumo wa uzazi wa kiume.

Tezi hii inapatikana jirani na kibofu Cha mkojo na mirija ya mkojo.

Tezi hii Ina kazi ya kuzalisha majimaji ambayo hubeba mbegu za kiume.

Majimaji hayo ndio Yale anayotoa mwanaume anapofikia kilele.

Hivyo tezi hii ni muhimu sana katika mfumo wa kizazi wa mwanaume.

Tezi hii si kubwa saana inapata sentimita zisizozidi 4,lakini tezi hii hukuwa kadiri umri unavyoenda.

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME:-
• Kukojoa Mara kwa mara.

• kubakiza mkojo kwenye kibofu.

• kukojoa saana usiku.

• Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali.

• Kupungukiwa nguvu za kiume

• UTI ya Mara kwa mara.

• Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikaniko wa mkojo.

• Figo kujaa maji, hii ni kwasabab mkojo huo unarudi nyuma kuelekea kwenye figo.

• Kupoteza fahamu.

•Maumivu ya Mara kwa mara ya kiuno kwa nyuma ya mgongo na mapaja.

• Uume kushindwa kusimama vizur.

•Kuwa na wakati mgumu wakati wa kukojoa na kuzuia mkojo.

ATHARI ZA TEZI DUME KAMA HAITAWAHI KUTIBIWA:-

  1. Kushindwa kabisa kukojoa.

  2. Kupatwa na maambukizi ya UTI

  3. Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu.

  4. Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea.
    5)Figo inaweza kuharibika.

Suluhisho la kumaliza hili tatizo lipo:
Tunaondoa TEZI DUME bila upasuaji

Karibu ushaur ni bure kabisa
Tupo
#Arusha
#Dar es salaam
#Mwanza
#Morogoro
#Dodoma
#Mbeya na nk

Bei hapo chini ni Dose ya miezi mitatu japo unaweza anza na mwez mmoja mpkaa umalize dose

Bf suma
Member Since 26. Feb '20
Verified via:
Email Facebook Google Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.