14. Oct, 21:12
Ad ID 3510631
TSh 37,500

IFAHAMU P.I.D DALILI NA MADHARA

Other District Other Location
Seller offers delivery

Uwe ndani ya Arusha Mjini tu .Tofauti na apo utachangia gharama zitakazo husika

Details
Price negotiable
No
Description

DALILI MADHARA NA SULUISHO LA P.I.D (Maambukizi katika Via vya Uzazi)

1️⃣Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa

2️⃣Kuwashwa sehemu za siri

3️⃣Uke kutoa harufu mbaya

4️⃣Maumivu ya tumbo chini ya kitovu

5️⃣Uke kuwa wa ulaini sana

6️⃣Maumivu wakati wa tendo la ndoa

7️⃣Kuvurugika Kwa hedhi

8️⃣Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi

9️⃣Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa

•Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula

MADHARA YA PID

•Kuchelewa kubeba ujauzito

•Kansa ya shingo ya kizazi

•Mirija ya uzazi kuziba

•Majeraha kwenye mirija ya uzazi

•Uzimbe Katika via vya Uzazi na nk

#PID inatibika na kupona Kwa haraka
Kwa ushauri au tiba ya tatizo hili waweza kuwasiliana nasi

Tunapatikana
Arusha
Morogoro
Dodoma
Mwanza
Dar es salaam
Mbeya

Bf suma
Member Since 26. Feb '20
Verified via:
Email Facebook Google Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.