2. Dec '21, 07:19
Ad ID 3696842

IFAHAMU KANSA YA TEZI DUME DALILI NA TIBA BILA UPASUAJI

Arusha Mjini Arusha
Seller offers delivery

Uwe ndani ya Arusha

Details
Price negotiable
No
Description

TEZI DUME NI NINI?
Tezi dume ni moja ya tezi la uzazi la
kiume ambalo kila mwanaume analo,
tezi hili lipo chini ya kibofu cha mkojo
na linazunguka njia ya mkojo toka
kwenye kibofu kwenda kwenye uume.

Jinsi umri unavyoongezeka tezi dume
nalo huongezeka ukubwa ambao
unaweza kuwa wa kawaida au
saratani.

Kuna aina tatu za magonjwa ya tezi

dume.

• Maambukizi ya Bakteria
(Prostatitis).

• Kukua kwa tezi dume ambalo
sio saratani (Benign Prostatic
Hypertrophy-BPH).

• Saratani ya tezi dume.

KAZI YA TEZI DUME

Kutoa majimaji anayochanganyika na
mbegu za kiume (sperms) kutengeneza
manii (semen).

VITU VINAVYOSABABISHA SARATANI
YA TEZI DUME

Chanzo hasa cha saratani ya tezi dume
hakijulikani, saratani hii ina uhusiano
mkubwa na;

• Umri, Wanaume wenye umri kuanzia
miaka 60 na kuendelea wanapata
zaidi saratani ya tezi dume.

• Vyakula vyenye kiasi kikubwa cha
mafuta, hasa ya wanyama.

• Historia ya tatizo hili kwenye familia
(Genetic).

• Kuwa na uzito uliokithiri.

DALILI ZA SARATANI YA TEZI DUME

Katika hatua za awali, dalili
hazitofautiani sana na zile za kuvimba
kwa tezi dume lisilokuwa saratani
(BPH).

Dalili hizo ni pamoja na;

• Kusikia kupata haja ndogo mara
kwa mara hasa nyakati za usiku

• Haja ndogo kuchelewa kutoka
unapoanza kukojoa.

• Kutoa mkojo wenye mtiririko dhaifu na kuchuruzika kidogo kidogo
baada ya kumaliza kukojoa.

• Kujikakamua wakati wa kukojoa na kushindwa kumaliza mkojo wote.
• Kutoa mkojo au manii
yaliyochanganyika na damu

• Maumivu makali sehemu
mbalimbali za mwili kama saratani
imesambaa.

• Kupungua uzito, kuhisi kichefuchefu, uchovu na kizunguzungu.

TIBA YA SARATANI YA TEZI DUME

Matibabu ya saratani ya tezi dume
yanategemea hatua ya ugonjwa na
umri wa mgonjwa.

Aina za tiba hizo ni pamoja na;
• Upasuaji ( Surgey)
• Mionzi (Radiotherapy)
• Vichochezi (Homonal therapy)
• Kemikali (Chemotherapy)-
• Ubaridi (Cryotherapy

Kila moja ya matibabu tajwa apo juu ina madhara yake'

Ila tupo na bidhaa lishe zenye uwezo wa kuondoa hiyo changamoto BILA upasuaji

Wasiliana nasi Tupo
Arusha
Dar es salaam
Mwanza
Dodoma
Mbeya
Morogoro
Iringa na nk

Gharama sio rasmi unaweza kupungua kutokana na ukubwa wa tatizo

Bf suma  Tanzania
Bf suma Tanzania
Member Since 1. Dec '21
Verified via:
Email Facebook Google Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.