NYUMBA ZURI INAUZWA, PAMOJA NA UWANJA UNAOZUNGUKA NYUMBA, AMBAO UNAWEZA UKAJENGA NYUMBA TATU ZINGINE??
,
#SIFA ZA NYUMBA
Ina vyumba vinne (Kimoja Master), sebule, jiko, dinning, public toilet mbili zote za ndani na store
Uwanja Mkubwa zaid ya heka.... na hapohapo unaweza jenga nyumba zaid ya tatu zingine
,
#BEI;
125 Milioni tu (maongezi yapo kidogo)
,
#MAHALI;
SALASALA,
Umbali wa kilometa moja na nusu(KM 1.5) kutoka bagamoyo road mpka kwenye nyumba.
,
#NOTE;
Nyumba ni zuri sana na ramani ya kisasa, matunzo tu ndio maana inaonekana hivyo ikipigwa rangi inakua poa sana
,
#Service charge 20k
,
Learn about new items, custom picked just for you.