Nyumba ya ghorofa moja iliyopo mbweni ubungo inauzwa ikiwa na kiwanja chenye ukubwa wa Sqm 1270 pia ina hati miliki ni nyumba yenye jumla ya vyumba vinne ambavyo vyote ni self-contained pia ina servant quater ya chumba kimoja na sebure nyumba haipo mbali na barabada ya rami ya mbweni inauzwa kwa bei ya Tsh milion 350 maongezi yapo
Learn about new items, custom picked just for you.