NYUMBA INAUZWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZ BEACH
: BEI MILION 450
UKUBWA WA KIWANJA-SQM 1300
NYARAKA ZA UMILIKI INA-HATI SAFI
NYUMBA NZURI YA KISASA
INAYOJITEGEMEA
YA FAMILIA
YENYE:-
Vyumba 5 vikubwa vya kulala kimoja ni #Master #Dinning #Sebule kubwa #Jiko #Stoo
#Choo/#Bafu vya ndani vya wanafamilia
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku
#Heater ya maji moto ipo
Backup ya #Solar ipo
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Ina Cars #Parking #Garage
Cars #Parking Space ipo
Nje
#Fencedhouse
NYUMBA NZURI SANA YA KISASA
BEI INAUZWA TSHS MILION 600
MAONGEZI YAPO PIA
__
Learn about new items, custom picked just for you.