Nyumba inavyumba vi4 vya kulala vi3 ni self container ina seeting room dinning room kitchen store public toilet umeme upo maji yapo nyumba ukubwa wa eneo lake ni mita 30 kwa 30 documents hati ya serikali za mitaa njoo ukague tufanye biashara garama kupelekwa saiti kuona ni elfu 20 nyumba haipo mbali na Morogoro road ni mwendo wa dakika 1tu miguu unafika kwenye nyumba
Learn about new items, custom picked just for you.