Nyumba inavyumba vi3 kimoja master bedroom ina seeting room dinning room kitchen store public toilet umeme upo maji yapo nyumba ni mpya kabsa naimekamili kila kitu ni yakuhamia tu eneo lake ni Sqm 500 documents Hati ya mauziano serikali za mitaa, umbali kutoka bagamoyo road ni mwendo wa dakika 2 tu kwa miguu unafika kwenye nyumba bei millioni 80 maogezi yapo njoo ukague garama kupelekwa saiti kuona ni elfu 20
Learn about new items, custom picked just for you.