Nyumba inauzwa boko magengeni karibu na kanisa la Lutheran ni vyumba vi 3 ,sitting and dinning room kitchen,nje Kuna nyumba haijaisha ya 2bedroom na pia kuna frem...Sqm 1000 bei ni 60mln negotiable ina hati miliki ( title deed)
Learn about new items, custom picked just for you.