16. Mar, 10:42
Ad ID: 2579146
TSh 27,000,000

House for sale

Longido Arusha I am in Arusha
Details
Price negotiable
Yes
No of bedrooms
4
Description

Nyumba iko Longido, pembezoni kabisa mwa Barabara ya Arusha Namanaga, katika eneo lenye ukubwa Mita za eneo 600 (20m×30m), ina hati na kodi za ardhi zimelipwa mpaka june 2021. Line za umeme na maji zipo ndani. Nyumba inatizamana na lango kuu la kuingilia halmashauri ya wilaya ya Longido.

Nyumba inafaa kama ofisi, Benki (ATM), Makazi, Nyumba ya wageni (guest house), Bar au hata biashara kama Super Market au Restaurant. Hii ni kulingana na kuwepo katika eneo zuri kimkakati na kimazingira. Nyumba haijakamilika kiujenzi hivyo ni rahisi kuirekebisha kwa vionjo na lengo la mnunuzi.

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
lourance65@yahoo.com
lourance65@yahoo.com
Member Since 3. Dec '12
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.