#Nice Apartment for Sale; #Ubungo Makoka #70M
;
;
#Ina vyumba vyakulala viwili (kimoja ni Master bedroom), Dining room, Sitting room, ziko mbil (yani master bedroom ina sebule yake?, na sebule nyingine ya kutumia wote?), Choo cha public, Haina hati. (Mauziano yanafanyika mahakamani),
;
;
#Ina kiwanja pembeni ambacho unaweza jenga nyumba nyingine?.. na Kimezungushiwa ukuta na nyumba ila haina geti bado
;
#Bei milioni 70 tu, (70,000,000/=)
,
,
#service charge 20k
Learn about new items, custom picked just for you.