#VYUMBA_VINNE
IKO PEKEE YAKE NDANI YA FENSI
Iko MBEZI BEACH UPANDE WA KUELEKEA BEACH
BEI NI MIL 1,800,000/= KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6 Pamoja na Mwezi mmoja wa @dalali_ibra
NI VYUMBA VINNE VYA KULALA #VIWILI_MASTA , SEBULE KUBWA, DINNING, GARDEN
PUBLIC TOILET 2 ZA NDANI
NYUMBA INA AIRCONDITION, NA HEATER ZA MAJI MOTO
MAWASILIANO ZAIDI
@dalali_ibra
Learn about new items, custom picked just for you.