TUNATUMA NDANI NA NJE YA JIJI LA DAR ES SALAAM KWA USALAMA KABISA.
Dawa lishe hii ya ‘isomalto-oligosaccharide’ inayojulikana
Zaidi kama Isomalto ni mchanganyiko wa wanga-mnyororo
mfupi (mixture of short-chain carbohydrates) kwa ajili ya
mmeng’enyo wa chakula (digestive system) inasaidia kuondoa sumu zinazotokana na maji,chakula,hewa pamoja na
matumizi ya madawa yenye kemikali mwilini. Dawa lishe ina uwezo mkubwa wa kuondoa sumu mwilini kwa kiasi kikubwa na kwa muda mfupi. Inasaidia kusafisha mfumo wa chakula hasa tumbo na kulifanya liwe katika hali nzuri zaidi.
Ni nzuri kwa watu wenye matatizo ya vidonda vya
tumbo,tumbo kujaa gesi na aside,tumbo kukata au tumbo la kuharisha pia husaidia kwa wasiopata choo au wanaopata choo katika hali ya ukavu sana. Inasaidia kuwapa nguvu bacteria wa mwilini ambao husaidia mfumo wa uyeyushaji wa chakula.
Wiki tatu baada ya kutumia bidhaa hii,kinga ya mwili
huongezeka mara kumi zaidi,ikilinganishwa sawa na kinga ya kijana wa miaka 20. Matokeo huonekana baada ya siku moja
mpaka tatu na matokeo mazuri zaidi huwa zaidi ni baada ya matumizi ya wiki moja mpaka tatu.
Learn about new items, custom picked just for you.