2. Feb, 15:26
Ad ID: 2468869
TSh 1,250,000

Grain Mill & Peanut Butter Machine.

Ilala, Kariakoo Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
No
Condition
New
Description

FUNGUA KIWANDA KIDOGO KWA KUMILIKI MASHINE HII IMARA SANA KUTOKA INDIA.
Grain Mill & Peanut Butter Machine.
*Brand yake ni BASANT.
*Inatumia umeme (Single phase)
*Ina nguvu sana
*Inafaa kwa matumizi ya biashara tu.
*Ina uwezo wa kusaga kuanzia kilo 50 hadi 100 kwa saa.
*Inafanya kazi zifuatazo:-
✅Inasaga karanga kuwa siagi 'PEANUT BUTTER'
✅Inasaga karanga kuwa unga .
✅Inasaga viungo ikiwemo mdarasini.
✅Inasaga vitu vikavu
✅Inasaga mahindi.
✅Ina uwezo wa kusaga unga wa lishe na mbegu za boga.
✅Inasaga kunde za bagia.
✅Inasaga tangawizi kavu na mbichi.
✅Inasaga kahawa na buni ya kahawa.

Tsh 1,250,000 tu

EJ Households
EJ Households
Member Since 12. Jan
Verified via:
Email Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.