4. Apr, 22:06
Ad ID 2016239
TSh 170,000

GPS DEVICE

Kinondoni, Kijitonyama Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
No
Condition
New
Description

Gps TRACKING SYSTEM
Jipatie #GPS ambayo itakupa taarifa mbalimbali za chombo chako ambazo zitakusaidia kwenye kulinda chombo chako, kucontrol . #GPS hii inaweza kufungwa kwenye gari, pikipiki, Tv, bajaji, laptops

Sifa za #GPS

  1. Kupitia #GPS hii utaweza kutambua kiwango cha mafuta kinachotumika.
  2. Kuweza kujua speed ya chombo chako.
  3. Utaweza kuona sehemu yoyote gari lako lilipo.
  4. Utaweza kuzima na kuwasha gari lako sehemu yoyote litakakuwa kupitia application tutakayokupatia.
  5. Utakuwa unatumiwa pia msg kupitia mfumo wa kawaida kukupa taarifa ya chombo chako.
  6. Utakuwa ukitumiwa report kila siku kuhusu taarifa za chombo chako

Gps hizi unaweza kuzifunga kwenye gati, pikipiki, bajaji, tv, radio, computer, mbwa, paka n.k

Mafundi wetu wanafika mahali popote kukupa huduma hii.

Instagram: @kamutech_
Facebook: Kamu Techmologies

ZACHWA
Member Since 24. Jan '19
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.