Tunatoa delivery kwa gharama nafuuu
● FAIDA ZA VIDONGE VYA GLUZOJOINT
○ Inaboresha gwegweju (Cartilage metabolism) na kuzuia kusagana kwa mifupa.
○ Kuboresha ufanisi na kuondoa maumivu kwenye viungo.
○ Inaondoa madhara ya kusagika na kuchambuka kwa mifupa (Osteoarthritis)
○ Ni nzuri kwa wenye maumivu ya kiuno, viungo na shingo.
● VIUNGO
○ Glucosamine
○ Hydrochloride
● WALENGWA(WATUMIAJI)
○ Wenye maumivu ya viungo na mifupa.
○ Waliosagika gwegweju
● MATUMIZI
○ Kidonge 1 mala 2 kwa siku wakati wa chakula.
○ Kwa matokeo mazuri itumike si chini ya wiki 6.
○ Ni nzuri itumike mala 2 au 3 kwa mwaka kama unamatatizo hayo.
Learn about new items, custom picked just for you.