18. Nov '21, 19:19
Ad ID 3640607

fursa ya kushiriki katika maonyesho ya kibiashara makubwa zaidi

Ilala, Kisutu Dar Es Salaam
Description

kampuni ya muye group ya Tanzania kwa kushirikiana na CHINA -AFRICA TRADE RESEACH CENTER NA kudhaminiwa na manisipaa ya mji wa hengshui hebei china

wataendesha maonyesho ya kibiashara kuanzia tarehe 15-17 december nchini

zaid ya masupplier 400 kutoka china watashiriki maonyesho haya makubwa sana nchini UCHINA

Maonyesho yanahusisha sector ya vifaa vya ujenzi kama wiremesh nondo mabati

watanzania wote wanakaribishwa kujisajili kwenye maonyesho haya adhimu

unaweza kuwasiliana nasi moja kwa moja tukusajili

mwisho wa usaili ni tarehe 23/11/2021

fanya hima usajiliwe mapema

Antipas Used Cars
Member Since 4. Nov '13
Verified via:
Email Mobile Number
Contact Seller
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.