15. May, 01:44
Ad ID 2865677
TSh 12,000

FURSA ADIMU,-BIASHARA YA MAFUTA ASILIA YA NAZI.

Kinondoni, Sinza Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
No
Description

Tunauza jumla na rejareja kama ifuatavyo;

BEI YA JUMLA:
Chupa yenye ujazo wa milimita 250 (Robo Lita)-Tshs.6,000.

Chupa yenye ujazo wa ilimita 500 (Nusu Lita)-Tshs.10,000.

Bei ya REJAREJA ni Tshs.8,000 kwa Mils.250 na Tshs.12,000 kwa Mils.500.

MPENDWA WETU,
UKINUNUA KWETU KUANZIA CHUPA 10 TUTAKUUZIA KWA BEI YA REJAREJA.

Ikikupendeza tunaweza pia kusaidi KU-BRAND bidhaa yako kwa maelezo yako.
Yaani itasoma jina lako la Biashara na mawasiliano yako pia yatakuwepo,
Pia nembo yako kama unayo au tutakutengenezea nembo.
KWA GHARAMA RAFIKI YA ZAMA HIZI ZA MAMA SASHA.

Kwa maneno mengine wewe utakuwa unauza Chako sasa.

Mungu akupe nini?
Piga simu tuyajenge.

dalalitz@yahoo.com
Member Since 12. Aug '12
Verified via:
Email Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.