Frem zipo nne kwanyuma kunanyumba yavyumba vitatu vyakulala kimoja Master Siting room public toilet. Pia kunaeneo kubwa limebaki unaweza kujenga chochote kile
Ukubwa wa kiwanja sqm 600
Umbali kutoka ctendi ya chanika mwisho km 1
Frem zina documents yamauziyano yaserekali yamtaa
Wahi sasa mdau wangu frem zote zina wapangaji
WOTE MNAKARIBISHWA ?
Learn about new items, custom picked just for you.