Delivery kwa gharama ya mteja
5000 Tsh -10000 Tsh
Tunatuma sehemu yeyote duniani
(Tanzania bara na Visiwani)
Hiki ni kirutubisho asilia ambacho kina kiungo cha Amino acid L-Arginine ambayo hubadilishwa mwilini kuwa Nitric Oxide ambayo inasaidia kutanua mishipa ya damu kuifanya iwe flexible hivyo kufanya mzunguuko wa damu uende vizuri bila kwa kukwama. Imetengenezwa kutokana na matunda mbalimbali yenye ladha nzuri. Matunda hayo kama strawberry n.k
Ina kazi zifuatazo
Learn about new items, custom picked just for you.