26. May, 13:01
Ad ID 2897980
TSh 85,000

FEMININE WASH

Kinondoni, Mikocheni Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Free

Details
Price negotiable
No
Condition
New
Description

FAIDA ZA KUTUMIA FEMININE WASH KWA MWANAMKE

FEMININE WASH
Hii huwa inafahamika kama mkombozi wa wanawake kwa maambukizi ya sehemu za siri.Imeandaliwa maalumu kwa ajili ya wanawake. Imetengenezwa kwa vyakula,mimea na madini na viua sumu mwilini. Inamadini yanayohuisha uke na kuwa na ulinzi asilia,inaviua sumu vinavyozuia uke kuzeeka(mashavu),uke uliolegea, Ina mafuta mazuri yanaitwa essential oil kwa ajili ya kufanya uke urudishe mnato wake wa asili.

Kazi zake ni hizi hapa????

FERMININE WASH
☆Huondoa harufu mbaya ukeni ☆Huondoa bacteria wabaya na kuzuia UTI
☆Huondoa fangasi na miwasho ukeni
☆Hurudisha size nzuri ya uke
☆Huondoa maji maji yatokayo ukeni yenye Harufu mbaya
☆Huondoa maumivu wakati wa tendo la ndoa
☆Hufanya mwanamke kujiamini muda wote
☆Huzibua mirija ya uzazi hivyo kusaidia wenye shida ya kutoshika mimba
☆Humkinga mwanamke na maambukizi mabaya hasa u.t.i kwenye vyoo,kemikali za swimming pool, maambukizi Mabaya kutoka kwa mwanaume.n.k

Mwisho kabisa napenda kushauri wanawake wote uwe unaumwa au huumwi hii supplement ni vizuri kuwa nayo ndani itakusaidia kwenye mazingira usiotegemea.

Kwa kuipata wasilian nasi

Fatma Mussa
Member Since 26. Feb '19
Verified via:
Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.