20. Feb, 22:12
Ad ID 2534051
TSh 187,000

TIBA YA PID

Morogoro Mjini Morogoro
Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Description

UGONJWA WA PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE AU MAAMBUKIZI KATIKA VIA VYA UZAZI)na jinsi ya kupata tiba sahihi

UGONJWA WA PID NI NINI??
~ni ugonjwa wa maambukizi unaotokea katika via vya uzazi wa mwanamke ambapo huhusisha maambukizi katika shingo ya kizazi (CERVICITIS),nyama katika mfuko wa uzazi (ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi (SALPINGITIS)

VYANZO NA VIHATARISHI VYA KUPATA UGONJWA WA PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)

Vimelea aina ya NEISSERIA GONORHOEAE pamoja na CHLAMYDIA TRACHOMATIS ndio chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa PID ingawaje kuna aina kadhaa za vimelea vinahusishwa kusababisha ugonjwa wa PID hivyo nilivyotaja ndio vinaongoza Kwa umaarufu kusababisha ugonjwa wa PID
~pamoja na vimelea hao kuwa chanzo kikuu cha ugonjwa wa PID zipo njia KADHAA HATARISHI KUSABABISHA MAAMBUKIZI HAYA NAZO NI รท

*kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa uzazi(IUCD) kama njia mojawapo ya uzazi wa mpango
*Kufanya ngono isiyo salama
*Maambukizi ya njia za uzazi mara baada ya kujifungua au mimba kuharibika
*Kuambukizwa kupitia damu yenye vimelea wa PID
*Kupata maambukizi wakati wa kutoa mimba kwa njia isiyo salama

DALILI/VIASHIRIA VYA UGONJWA WA PID

Kuna dalili mbalimbali zinazoweza kuashiria ugonjwa huu wa PID miongoni mwa dalili hizo ni,

*Mwanamke kupata maumivu ya tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu
*Kupata maumivu wakati wa kukojoa
*Kupata homa na kuhisi kichefuchefu
*Kupata maumivu ya mgongo na kutapika
*Kutokwa na hedhi bila mpangilio
*kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa
*Kutokwa na uchafu(utoko)mweupe ukeni unaotoa harufu mbaya

NAMNA YA KUJIEPUSHA NA UGONJWA WA PID
Pamoja na kuwepo kwa dawa za kutibu tatizo hili ni vyema ukajiepusha na vihatarishi vya kupata tatizo hili kwa kuzingatia yafuatayo,
*Epuka kufanya ngono isiyo salama.
*Jiwekee tabia ya kufanya vipimo mara kwa mara hasa kizazi
*Usifanye mapenzi mara baada ya kujifungua au mimba kutoka mpaka utakapohakikisha shingo ya uzazi imefunga vema
*Kuwahi kuonana na daktari unapoona dalili za ugonjwa
*Kuwa msafi na kula lishe bora

Note:
Uonapo dalili za ugonjwa huu wahi kupata matibabu kwani ugonjwa huu ni mkubwa huweza kusababisha ugumba ikiwa hautapata tiba vizuri.

MATIBABU
Ugonjwa huu unatibika vizuri kwenye tiba asili hivo kama Tayar unaumwa na umezunguka mahospitali bila msaada basi tunaweza kukusaidia,

BF SUMA MOROGORO
Member Since 25. Dec '20
Verified via:
Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.