31. Mar, 15:24
Ad ID: 2633132
TSh 35,000

Famicare cleanse

Mbeya Mjini Mbeya
Seller offers delivery

Popote tunakufika kwa garama nafuu

Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Description

FemiCare – Feminine Cleanser
Sabuni Maalum Kwa Mwanamke
MWANAMKE:
Katika maisha yake hupitia vipindi vikuu vitano (5) ambavyo Jamii nay eye binafsi ni muhimu kuwa makini sana.

 1. Kuvunja Ungo
 2. Tendo la Ndoa
 3. Mimba
 4. Uzazi
 5. Kukoma kwa Hedhi
  Hakika takribani katika hatua zote Mwanamke hutokwa na uchafu na damu, hii husababisha matatizo makubwa akipunguza umakini.
  -Japo kuna sababu ambazo anaweza Kujitibu au kujikinga kama, Vyo vya Jumuiya, Nguo za ndani, Nguo za kubana sana, Kukaa sehemu moja muda mrefu, Tendo la Ndoa, na Uzazi wa Mpango.
  : -Lakini Je, Inawezekana.?........... Ndio/ Hapana………………. Usijali kuna suruhisho hapa..!!
  FEMI CARE:
  UhuishaSeli kwa madini kutoka maliasili pamoja na OKO-HITECH baharini kwa kutumia mbinu za uchimbaji wa kiikolojia , madini machache yanayopatikana kutoka Ziwa kubwa la Chumvi USA, na mafuta ya asili ya muhimu ni kutoka kwenye mimea pia ina vitamini nyingi, amino acid, and vegatable antioxidative element.
  Wataalamu wamethibitisha kuwa FemiCare ni Dawa nzuri na salama imeisha tumika tayari kwa miaka mia moja.
  INAHUSIKA:
 6. Inasaidia Uke kupambana na maambukizi.
 7. Inaondoa majimaji machafu, harufu na miwasho
 8. Inakinga vijidudu vinavyo sababisha upele kwenye nywere hasa sehemu za siri, vidudu kwenye mirija kama utumbo, Vidudu vinavyo sambulia njia ya mkojo, Vidudu vya Fangasi na Vijidudu vingine hatari kwa sehemu za siri
 9. Huweka uke safi na kuukinga na maambukizi
 10. Husaidia kuhuisha Seli.
  Kwa kutibu na kukinga bacteria tumia mfurulizo siku 7.
  VIAMBATA:
  Feminine shafishio, ina aina tatu za viambata vikuu: Rejuvenating mineral elements kutoka kwenye vianzo vya asili ÖKO-HITECH Marine Ecological Extraction Technique, Compound trace elements is extracted kutoka Umoja wa Nchi za Marekani Great Salt Lake, na natural essential mafuta ya mimea, kuchanganywa na maji yaliyo safishwa na kutengenezwa maalumu kwa kuoshea Ukeni. Pia imechanganywa na mineral elements, trace elements, multiple vitamines, amino acid, and vegatable antioxidative element.
  MAELEKEZO:
  A-Kutumia kuosha
  1- Makini pima vifuniko 2-4 (17-34ml)
  2- Weka kwenye Beseni la kukogea
  3- Changanya dawa (Femicare) na maji ya vuguvugu lita 5-10
  4- Kaa kwenye Beseni ujisafishe ukeni kwa muda wa Dakika 5-10.
  B-Kutumia kuingiza Ukeni
  1- Kwa makini weka vifuniko 2 (kama 17ml) ya Femicare
  2- Changanya vizuri Dawa na maji ya vuguvugu 40ml
  3- Lala chali na ujiachie, Ingiza kifaa Ukeni. Kandamiza mfuniko kuruhusu dawa kutoka, na utulie kwa muda wa dakika 3-5
  4- Osha kifaa kwa kuweka maji ya vuguvugu na kuingiza Ukeni tena, Tulia kwa muda wa dakika 3-5 kisha ujisafishe.
  • Kwa kutibu na kukinga bacteria tumia mfurulizo siku 7 mpaka 10.
  KUHUSU KIFAA:
   Kifaa kimetengenezwa kulingana na ubora wa GMP
   Kifaa kina kifuniko na kibomba
   Tafadhali safisha Kifaa na ukihifadhi kwenye eneo kavu
   Tafadhali kuwa makini kuepuka kisipokee maambukizi.
  ONYO:
   Ni kwa matumizi ya nje
   Ikiingia mdomoni wasiliana na Mtaalam
   Haitumiki kwa Mwanamke Bikra, Mwenye Hedhi, Mwenye Mimba na Anaye nyonyesha
   Femicare haiziwii Mimba, wala haitibu magonjwa ya zinaa, pelvic inflammatory disease
  ANGALIZO:
  1- Wenye maambukizi anaweza kupata maumivu kwa siku chache, yakiendele siku 5 wasiliana na Mtaalam
  2- Usitumie kama una aleji
  3- Ni nzuri kwa kukinga maambukizi
  4- Weka kifaa katika usafi
  5- Weka mbali na wanapofikia watoto.
  UHIFADHI:
  Linda isipatwe na mwanga wa jua, Hifadhi kwenye sehemu kavu, Weka mbali na watoto.
  UJAZO:
  1- 180ml
  2- Kifaa muhimu
Gift joseph
Member Since 5. Feb
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.