31. Mar, 15:50
Ad ID: 2633253
TSh 35,000

Famicare

Mbeya Mjini Mbeya
Seller offers delivery

Popote tunakufikia kwa garama nafuu

Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Description

UKE KUTOA SAUTI MFANO WA KUJAMBA - CHANZO , DALILI NA SULUHISHO

UKE KUTOA SAUTI

Kwa mwanamke ambaye ameshawahi kukutana na jambo hili zaid ya mara moja basi anajua ni fedhea kiasi gani huwa anapata na kukosa hamu kabisa ya kuendelea na Tendo.

TATIZO.

Tatizo kubwa Kwenye hili Siyo ile Sauti inayotoka Kwenye Uke , Ila ni Mume Kutojuwa Hali hiyo ni nini ?

Ama ni Ugonjwa , Tatizo au ni Jambo la Kawaida Kimaumbile na Isimkwaze ili Kumfanya Mwanamke awe Huru Wakati wa Tendo na Kulifurahia na Siyo Kumuona wa ajabu kimaumbile ama Kumcheka.

KWA NINI UKE HUTOA SAUTI ?

Umbo la uke lipo katika hali ya mikunjo mikunjo kitaalam huitwa VAGINA RUGAE ambapo mikunjo hiyo ipo kama mikunjo ya bati sasa pindi inapo ingia hewa huiminya na kutoa nje ndo maana kuna mikao ukikaa hufanya uke kufinya hewa ile na hewa kutoka kwa kutoa sauti ima kwenye jimai kwenye mazoez au hata ukiwa unafanya usafi

IKIWA IMETOKEA WAKATI WA JIMAI

Kama Nilivyo eleza awali kuwa uke na uume huwa mfano wa sindano za hospital ( injection ) unapo vuta hutoa hewa ilio ingia ndan au hufyonza dawa ulio iweka kwenye kichupa kitendo hiki hakina tofaut na uume kuiingia kwenye uke na kutoa hewa.

Baadhi ya Mikao : Kuna Baadhi ya mikao hupelekea hewa kuingia na uume unapo toka ama kuingia huiminya hewa hiyo na Kusababisha Kutoa mlio , Mfano : Chuma Mboga ambao humhitaji mwanamke kuinama na Mwanamke Kuwa Nyuma yake.

Ukiangalia kwa makini Tukio hili halitofautiani Sana na lile la koromeo likipitisha Gesi/hewa au Kuruhusu Iliyozalishwa Ndani ya Mfumo wa Tumbo hutoa mlio sawa sawa na huo japo huu unauita kucheua na ule una sema ni kama Kujamba lakini sio hivyo ikiwa utatafakari na Kuelewa.

SABABU ZA UKE KUTOA MLIO

  1. UREFU WA UKE - Kutoka katika kizazi japo siyo wote.

  2. UDOGO WA UUME HASWA UPANA (GIRTH) - Unaweza kuwa na uume mrefu na bahat mbaya ukawa sio mnene kuweza kushika kuta za uke na upepo kuweza kuingia pindi unapo ingiza

  3. WATU WALIOTOKA KUJIFUNGUA - Japo sio wote.

  4. WANAWAKE WALIOTANUA UKE - Uke Kutanuka Kupita Kiasi Chake.

NINI CHA KUFANYA ?

  1. ANGALIA MIKAO YA KUFANYA AMBAYO HAITA RUHUSU HEWA KUINGIA NDANI.

  2. TUMIA MAJI KUJISAFISHIA UKE KILA UNAPO MALIZA RAUNDI KATIKA TENDO AU KUJISAFISHA KILA UNAPOTOKA CHOONI AU ASUBUHI.

  3. FANYA MAZOEZI YA KEGEL - Haya yana faida nying sana Yatakusaidia Kubana Misuli ya Uke Uliotanuka.

  4. Tumia Product ya FEMICARE kama inavoonekana na faida zake katika Uke na Mfumo wa Uzazi.

Gift joseph
Member Since 5. Feb
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.