24. Jan, 20:19
Ad ID: 1623683

Electrical fence

Kinondoni, Kijitonyama Dar Es Salaam
Description

ELECTRIC FENCE SERVICE.

Tunatoa huduma za electric fence kwa ubora na kwa gharama nafuu sana.

?Electric Fence ni uzio unaofungwa umeme ambao utakuwezesha kuimarisha ulinzi na usalama wa nyumbani.

?Fence hii ya umeme inaunganisha na mashine ambayo hutoa umeme utakao kuwa unazunguka hivyo kuweza kumpiga shoti muhalifu yeyote yule atakayetaka kuruka ukuta wako kipindi amegusa hapo.

?Huduma hii pia inakuja na king’ora ambacho kinafungwa katika mzunguko mzima hivyo kipindi mtu huyo amegusa tu fence basi atapigwa shoti huku king’ora kikilia kwa nguvu kuashiria kuwa kuna tatizo limetokea.

?Tunavyo vifaa bora na imara, pia tunao mafundi wenye uweledi pamoja na uzoefu wa installation

Huduma zetu zinafika mpaka mikoani

OFISI ZETU ZIPO?: MAKUMBUSHO KARIBU NA GRANDVILLA HOTEL.

HUDUMA ZETU ZINAFIKA NA MIKOANI

minjasteven05@gmail.com
Member Since 24. Aug '17
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.