16. Dec '20, 11:33
Ad ID: 2359402
TSh 65,000

ELECTRIC HAND DEBEAKER KIFAA CHA KUKATIA KUKU MIDOMO, KINATUMIA UMEME

Kinondoni, Wazo Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Bodaboda

Details
Price negotiable
No
Description

ELECTRIC HAND DEBEAKER KIFAA CHA KUKATIA KUKU MIDOMO, KINATUMIA UMEME

Bei ni 65,000Tsh tu

Kifaa hiki ni maalumu kwajili ya kukatia kuku midomo.

Kifaa hiki kinatumia umeme, unapoweka kwenye umeme kisuchake kinapata moto hivyo unapokata mdomo wa kuku lile joto lake linasaidia kukata damu isitokee.

Kutumia kifaa hiki ni rahisi sana, na ni salama pia kwa kuku wako maana kinazuia kuvuja kwa damu nyingi.

Lakini kifaa hiki kinaweza kutumika kukatia mikia ya nguruwe.

Zoezi hili la ukataji wa midomo si geni sana kwa wafugaji, kati ya sababu zinazo pelekea kuku kukatwa midomo ni baadhii ya tabia zao.

Midomo ya kuku huwa na viungo vya fahamu vingi na mishipa ya damu, hivyo zingatia sana unakuwa makini katika zoezi hili.

Sababu ambazo huchangia kukata kuku midomo ni:

  1. Kuku kula mayai.
  2. Kuku kudonoa vifaranga.
  3. Kuku kudoana wao kwa wao.
  4. Kuku kudonoa watu ( haswa haswa tabia hii hufanywa sana na majogoo)

Ukiwa unakumbana na hizo changamoto hapo juu, na unahitaji kukata kuku wako midomo usisite kuwasiliana nasi @joackcompany.

Bei za kukata kuku midomo debeaking
Kunazia kuku 1-99 bei ni 500 kwa kuku
Kunazia kuku 100-199 bei ni 400 kwa kuku
Kunazia kuku 200-499 bei ni 300 kwa kuku
Kunazia kuku 500>>> bei ni 250 kwa kuku

#kuku #kukatamidomoyakuku #debeaking #debeaker #kukatamidomo #kukukulamaya #kukukudonoana #ufugajiwakuku #kukuwamayai #dawazamifugo #dawazakuku #chanjozamifugo #chanjozakuku

Offi

JOACK
Member Since 14. Jan '20
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.