Tunatoa huduma za electric fence kwa ubora na kwa gharama nafuu sana.
Tunavyo vifaa bora na imara, pia tunao mafundi wenye uweledi pamoja na uzoefu wa installation ya electric fence.
Gharama zetu ni 25,000 kwa meter moja.
Package ya hizo gharama inajuimuisha vitu vifuatavyo:
_
• Electric Fence
• Cables
• Insulator
• Siren Alarm
• Spring • Strainer
• Labour Charges
• Stain Steel
Huduma zetu zinafika mpaka mikoani pia.
Learn about new items, custom picked just for you.