Monday, 19:08
Ad ID: 2831867
TSh 23,000

Electric Fence Installation

Kinondoni, Makumbusho Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Within Dar es salaam free delivery

Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Description

ELECTRIC FENCE SERVICE.

? @Star7electronics. Tunatoa huduma za electric fence kwa ubora na kwa gharama nafuu sana.

?Electric Fence ni uzio unaofungwa umeme ambao utakuwezesha kuimarisha ulinzi na usalama wa nyumbani.

?Fence hii ya umeme inaunganisha na mashine ambayo hutoa umeme utakao kuwa unazunguka hivyo kuweza kumpiga shoti muhalifu yeyote yule atakayetaka kuruka ukuta wako kipindi amegusa hapo.

?Huduma hii pia inakuja na king’ora ambacho kinafungwa katika mzunguko mzima hivyo kipindi mtu huyo amegusa tu fence basi atapigwa shoti huku king’ora kikilia kwa nguvu kuashiria kuwa kuna tatizo limetokea.

?Tunavyo vifaa bora na imara, pia tunao mafundi wenye uweledi pamoja na uzoefu wa installation ya electric fence.

?Gharama zetu ni ?3,???/= kwa mita moja ya fence yako.

??????? ?? ???? ??????? ??????????? ???? ??????????:

◉ ??????????/??????? ????

◉ ??????

◉ ?????????

◉ ????? ?????

◉ ??????

◉ ?????????

◉ ?????? ???????

◉ ????? ?????

Huduma zetu zinafika mpaka mikoani pia.

??????? ☎️: ???? ??? ???

Star7electronics
Star7electronics
Member Since 17. Jun '15
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.