Wednesday, 07:50
Ad ID 3663088
TSh 22,000

ELECTRIC FENCE

Kinondoni, Kunduchi Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Description

Kazi imekamilika Goba kwa Awazi .. Asante kwa kutuamini na tumekupa unachostahili .

?Karibu kwa wa huduma za kuwekewa fensi ya umeme
?Wataalamu wetu wanajitahidi kadri ya uwezo wao ku design fensi yenye muonekano mzuri
?Fence hizi ni imara na na bora kwa usalama wako , familia yako na mali zako ,
?Usikubali tukio likutokee ndio ujutie kwann ulichelewa kufunga fensi ya umeme.
? Usiruhusu vibaka wakuingilie nyumbani kwako .
?Lala usingizi mnono kabisa ukiwa umeshajihakikishia usalama wako na mali zako.
MFUMO HUU UNAUNGANISHWA NA KING'ORA KITAKACHO TOA TAARIFA ENDAPO FENSI ITAGUSWA NA MHALIFU AU ENDAPO FENSI ITAHARIBIWA .
?Gharama ya fence ni Tsh.
22,000/= tu kwa mita moja, ambapo
itajumlisha gharama ya vifaa na
ufundi. Gharama pia zitapungua baada ya kutembelea site na kufanya survey
TUPO DAR ES SALAAM MBEZI BEACH

Eng allan
Member Since Thursday
Verified via:
Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.