Tunapatikana IRINGA, RAR ES SALAAM, MWANZA, GEITA, TABORA, MOROGORO, LINDI, ARUSHA, NA ZANZIBAR
Dr.COW MKOMBOZI KWA WATOTO
Dr.cow ni kirutubisho kilichotengenezwa na virutubisho vinavyopatikana kwenye maziwa ya ng'ombe yenye utajiri mkuu wa madini ya Calcium ambayo watoto wengi huyakosa na kusababisha wengi kuwa na matatizo ya kiafya.
PIPI MOJA YA DR.COW NI SAWA NA ML.200 ZA MAZIWA FRESH
Kirutubisho cha Dr.cow kinasaidia Mambo yafuatayo kwa mtoto ;
▪Kuimarisha Mifupa na Meno kwa Mtoto.
▪Humfanya mtoto asidumae
▪Huboresha ubongo kwa mtoto na kumfanya mwenye akili
▪Humfanya mtoto apende kula chakula pasipo kumlazimisha
▪Huimarisha Misuli kwa mtoto
▪Humfanya mtoto apate usingizi mzuri usiku.
▪Humfanya mtoto mwenye furaha na mchangamfu wakati wote.
MPENDE MWANAO KWA KUMPA PIPI ZA DR.COW
MATUMIZI
ATUMIE PIPI TANO KWA SIKU NZIMA (YAANI KIMOJA KIMOJA HADI IFIKAPO JIONI JUMLA ZIWE 5)
ITUMIKE KWA MTOTO AMBAYE AMEANZA KULA AU KUNYWA UJI
Learn about new items, custom picked just for you.