Zain Thaumu ni dawa ya asili iliyoandaliwa kipekee kwa ajili kuupa mwili Kinga na kutibu maradhi mbali mbali! Dawa hii ilipata usajili wa Mkemia mkuu wa serikali mnamo mwaka 2013 na kupewa LAB na. 483/2013 Dawa hii imejumuisha mazao ya mitidawa Kama unga wa mbegu nyeusi, habbati suffah, uwatu, manjano na asali! Hutibu maradhi ya kina Mama kutopata ujauzito, chango, kukosa ham ya tendo la ndoa, maradhi ya moyo, pressure na sukari, vidonda vya tumbo, kuboresha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, ni Kinga na tiba ya maradhi mengi. Husaidia kuondoa sumu mwilin znazotokana na vyakula na mfumo wetu wa maisha?
Learn about new items, custom picked just for you.