Ni dawa ya asili ya kutibu maradhi ya Kiharusi ( stroke), kupooza viungo, ni dawa ya mdudu, misuli kukaza na viungo kutokufanya kazi, mdomo kwenda upande na kushindwa kabisa kuongea, hutibu maradhi ya kuanguka na baridi mwilin. Dawa hii ipo ya kula na ya massage ( kuchua).
Learn about new items, custom picked just for you.