27. Oct, 18:10
Ad ID 3557326
TSh 1,150,000

CCTV CAMERA 8 CHANNEL HIKVISION

Morogoro Mjini Morogoro
Seller offers delivery

Within Dar es salaam free delivery

Details
Price negotiable
No
Condition
New
Description

Linda nyumba yako eneo lako la biashara au kazini kwako kwa gharama nafuu kutoka kwetu.

Huduma zetu ni za uhakika na usalama kabisa.

Pia tunakupa offer ya maintence mwaka mzima bila gharama yoyote.

Huduma zetu hujumuisha
✔CCTV camera installation
✔Electric fence installation
✔Air condition supply and installation
✔Finger print registry access control
✔Gate motor installation
✔Intercom system installation
✔Fire alarm system installation

Gharama zetu hujumuisha vifaa vyote katika mfumo au huduma husika katitika installation ambazo ni.
?camera 1 (standalone) 270,000
?spy camera 190,000
Audio camera 1 250,000
?4 channel coloured 780,000
?4 channel colourvu 1,000,000
?8 channel coloured 1,150,000
?8 channel colourvu 1,750,000
?16 channel coloured 2,100,000
?16 channel colourvu 3,100,000
Mteja anaehitaji huduma ya mobile view(kuangalia kwenye simu) anahitajikuwa na router ambayo bei yake ni 200,000.

Gharama hizi hujuisha huduma zote bila ongezeko lolote kutoka kwa mteja.

Karibuni sana.

Star7electronics
Star7electronics
Member Since 17. Jun '15
Verified via:
Email Facebook Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.