19. Nov '21, 17:08
Ad ID 3644913
TSh 350,000

BILL COUNTER , MASHINE YA KUHESABIA PESA

Ilala, Gerezani Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Description

BILL COUNTER MACHINE

?Usipoteze muda mwingi kuhesabu pesa, Wateja wengi wanapenda fast & excellent services
?Upgrade ofisi yako iwe ya kisasa zaidi kwa kujipatia hii mashine ya kuhesabia hela ili uweze kuwahudumia wateja wako kwa haraka na ufanisi mkubwa
?Mawakala wa Mpesa, Tigopesa etc hii sio ya kukosa kwenye ofisi zenu
?Inahesabu milioni moja kwa sekunde kumi tu
?Hii itakusaidia kugundua noti feki, hela zilizochanika na ambazo zipo katika hali mbaya
?Ni rahisi sana kuitumia, na itaifanya ofisi/biashara yako iwe ya kisasa zaidi na utendaji kazi utakuwa wa ufanisi zaidi
? Waranty mwaka mmoja
BEI: Tsh 300,000/=Tu

✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅
Tupo dar es alaam- kariakoo
Kwa wateja wa dar free delivery . Mikoani unatumiwa

Eng allan
Member Since 18. Nov '21
Verified via:
Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.