NYUMBA KARIBU SANA NA BAHARI INAJITEGEMEA INAPANGISHWA
KIGAMBONI,
. Inao vyumba 3
. Nyumba ya ghorofa
. Ploti yake kubwa sana zaidi ya 2700 square mita!!
. Dk 15 TU kutoka Ferry
. Kodi ya mwezi TSH 2,500,000/= (anapokea miezi 12)
. Ukiwa tayari wasiliana kwenda kuiona haraka tu!!
PIA,
JE unahitaji kuuza nyumba yako haraka kokote Tanzania?? Wasiliana na Sales Teams yetu WhatsApp
Follow Instagram @abmcorealestate
Learn about new items, custom picked just for you.