15. Oct, 23:58
Ad ID 3515591
TSh 170,000

Bidhaa bora ya asili ya SUPER GRO kwaajili ya uboreshaji wa mazao

Ubungo, Ubungo Dar Es Salaam
Seller offers delivery

SUPERGRO ni bidhaa bora ya asili kwa ajili ya kilimo cha mimea ya aina zote.
KAZI YA SUPERGRO NI NINI?
?Kuongeza unyevu kwenye mmea
?Kusisimua mmea
?Kuongeza uingi wa mazao
?Kuongeza ukubwa wa mazao
?Inasaidia viwatilifu (dawa) kufanya kazi vizuri
?Inasaidia vikonyo kuwa imara hivyo husaidia kutopukutisha
?Inatibu ardhi
?Inang'arisha ukoka na kuleta ukijani wa kung'aa ambao haufifii Ata jua liwake kali
?Inatoa matokeo mazuri katika Aina zote za mimea
?Haina kemikali YOYOTE kwa hiyo ni salama
?Inatumika kwenye udongo wowote

UPATIKANAJI
ROBO LITA
LITA MOJA
LITA TANO KARIBUNI SANA PIA TUNAKUTUMIA POPOTE ULIPO BURE KABISA KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA WASILIANA NASI KARIBUNI SANA

Details
Price negotiable
Yes
Condition
Refurbished
Description

Deodatus
Deodatus
Member Since 15. Oct
Verified via:
Facebook Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.