Tunafanya delivery Popote Tanzania na Nje ya Tanzania kwa Gharama nafuu kabisa.
Dar - Gharama ni 5,000 (popote tunakuletea)
Mkoani - Gharama itategemea na sehemu ulipo, lakini haizidi 10,000
iFresh Shampoo ni nzuri sana kwa kusafishia ndevu zako, zina virutubisho asilia kwa ajili ya kuondoa utando wa mafuta, muwasho wa jasho jasho, pamoja na kuzifanya ndevu kuwa na muonekano wa kuvutia wakati wote.
Itumie kwa maji vuguvugu, muda wowote - ina harufu nzuri na ya kuvutia. Karibu Sana
Learn about new items, custom picked just for you.